Skip to content
Rudi kwa Sekta

Usafirishaji wa Mizigo

Tanzania ni kitovu cha kibiashara kwa nchi jirani zisizo na bandari. Fleet yetu ya malori ya kisasa inasafirisha mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda nchi za maziwa makuu. Tunatoa huduma jumuishi za clearing and forwarding kwa ufanisi wa hali ya juu.

Usafirishaji wa Mizigo

Hatua 1: Chagua bidhaa → Hatua 2: Wasilisha ombi

Omba Bei ya Usafirishaji

Eleza mizigo yako kutoka bandari hadi marudio.

Aina ya Mizigo

#1
WhatsApp